Tauni ya Athene (jan 1, 430 BC – jan 1, 426 BC)
Description:
Sababu: ndui / typhus Kuenea: iliingia kupitia bandari ya Piraeus na kuhamia kote Ugiriki na mashariki mwa Mediterania Vifo: takriban 75,000 hadi 100,000 Matokeo: Ugiriki ilipoteza Vita vya Peloponnesia
Added to timeline:
Date:
jan 1, 430 BC
jan 1, 426 BC
~ 4 years